Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Arusha wakijiandaa kuingia kwenye kikao, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha. Kulia- kushoto ni Dr. H. Adamson na Ndg Mussa Mkanga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya UWT CCM Wilaya ya Arusha Ndg V. Mollel akiwa tayari kuingia kwenye kikao cha Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Arusha.

No comments:
Post a Comment